
Utafiti uliofanywa na Shirikisho la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo OECD ulifanya
uchunguzi na kugundua raia wa Korea Kusini hufanya kazi saa 2,163 kwa
mwaka tofauti na raia wa Ujerumani ambao hutumia saa 1,388.
Kilichonifikia ni kwamba wafanyakazi katika ofisi mbalimbali katika mji mkuu wa nchini hiyo Seoul wamekuwa wakilipia pesa ya usingizi wakati wakipata chakula cha mchana ili kupunguza uchovu.
0 comments:
Post a Comment